Subscribe to Updates
Get the latest creative news from FooBar about art, design and business.
Author: Gazeti la Dunia Editor
Rais Macky Sall wa Senegal akiwatembeza Rais mteule wa Senegal, Diomaye Faye (kushoto kwake) na Ousmane Sonko (kulia kwake) kwenye Ikulu ya Dakar hivi karibuni. Picha kutoka mtandao wa Quest France. Na Zitto Kabwe Mtandao wa Viongozi wa Upinzani katika Bara la Afrika (Pan African Opposition Leaders Solidarity Network) umepoteza wanachama wake wawili wiki iliyopita baada ya uchaguzi nchini Senegal. Wanachama hao ni Kiongozi wa Chama cha Wazalendo wa Senegal (PASTEF) Ousman Sonko na Katibu Mkuu wa chama hicho, Bassirou Diomaye Faye, ambao sasa wamekuwa viongozi wa taifa lao. Wananchi wa Senegal walijitokeza kwa wingi tarehe 25…
Na Fortunata Kitokesya SIKU ya Kimataifa ya Wanawake Duniani (International Women’s Day) ina mchango mkubwa kwa usawa na haki za wanawake wote duniani. Ni siku muhimu ya kutambua mapambano endelevu ya usawa wa kijinsia na kusherehekea mafanikio ya wanawake ulimwenguni kote. Pia ni siku ambapo watu binafsi, mashirika, na jamii wanakusanyika kwa pamoja kutetea na kuchochea haki za wanawake, kuongeza uelewa kuhusu masuala yanayohusiana na jinsia, na kukuza mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali kama za kijamii, kiuchumi, utamaduni na siasa. Lakini pia kuikumbusha dunia kuwa haki za wanawake ni haki za binadamu kama alivopata kusema Waziri wa Mambo…
Picha: Mmoja wa waandamanaji barani Ulaya akiwa ameshika bango linalotaka majeshi ya Israel yasitishe mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina hivi karibuni. Picha kwa hisani ya mtandao wa Forward. Na Issa Shivji KUNA mtu aitwaye Joseph Goebbels aliyekuwa Waziri wa Propaganda katika utawala wa fashisti Adolf Hitler. Goebbels aliwahi kusema ukirudiarudia uongo hatimaye unakuwa ukweli. Inaelekea hiyo ndio mbinu inayotumiwa na Wazayuni wa Israel. Mimi nitaigusia mifano michache ya uongo wao wanaoutumia katika hivi vita dhalimu dhidi ya Wapalestina wa Gaza. Uongo #1: Hamas ni chombo cha ugaidi cha Kiislamu kinachoamini kuua Wayahudi wote. Uongo. Ukweli ni…
Na Mohamed Said KATIKA Kavazi la Dk. Salim Ahmed Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 Machi 1995 na walizungumza kuhusu Burundi, siasa za Tanzania na Uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Mimi nilivutiwa na hili la Uchaguzi Mkuu wa 1995 kwa kuwa kwa njia moja au nyingine nilihusika na nilikuwa kama alivyokuwa akifanya Salim kuweka shajara (diary) nami pia nikifanya hivyo kwa yale niliyoshiriki. Salim anasema mazungumzo yao ghafla yaliingia katika Uchaguzi Mkuu. Siwezi kueleza aliyoandika Salim lakini kitu ambacho kiliniburudisha kwanza ni ujuzi wake wa lugha ya Kiingereza na pili Salim anachagua maneno yake kwa utaalamu wa…
Picha: Ukurasa wa mbele wa kitabu cha Survived and Thriving. Picha kwa hisani ya Mohamed Said Na Mohamed Said KUANZIA mwanzo wa kitabu ukurasa wa kwanza akili yako itakuambia kuwa mkononi kwako umeshika kitabu ambacho si cha kawaida; si kitabu utakachosoma na kikombe cha kahawa mkononi. Kitabu kinaanza katika hali ya vita vya wenyewe kwa wenyewe Liberia na simulizi za watu kuuliwa na majumba kuchomwa moto. Kitabu kama hiki hakikupi nafasi ya kunyanyua kikombe cha kahawa au glasi ya maji ya matunda kwa kuwa mwendo ni wa kasi kinywaji ulichoshika mkononi kitakumwagikia na kuchafua nguo zako.…
Picha: Mwandishi wa makala haya, Mohamed Said, akishiriki chakula na wenyeji wake kisiwani Pemba hivi karibuni. Picha kwa hisani ya Mohamed Said Na Mohamed Said Wenyeji wangu wananitembeza kila sehemu Pemba. Ndani ya gari yetu kumetiwa maji ya kunywa, majamvi na viti vya kukunja ikiwa vitahitajika. Maji ya kunywa kuchukuliwa nimeelewa ila kilichonishangaza ni majamvi na viti. Sikuwa na ujasiri wa kuuliza. Nimebakia kimya. Baadae nilijua kwa nini vitu hivyo vimebebwa. Wananipeleka Makumbusho kwa kupata utambulisho (induction) wa historia ya Pemba. Nimepitishwa archives (makavazini) kwa kuwa wananipeleka Pujini kwenye Ngome ya Mkama Ndume. Kwa kupitishwa Makumbusho…
Picha: Wananchi wa Afrika Kusini wakiandamana kupinga vitendo vya rushwa vinavyofanywa na viongozi wa kisiasa wa taifa hilo. Na Godfrey Dilunga ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar es Salaam, Rais Julius Nyerere, wakati huo, alifungua Mkutano wa Vijana Duniani. Katika hotuba yake ya ufunguzi iliyopewa jina la The Second Scramble, alitetea ujamaa akisema utajiri wa nchi unapaswa kutatua kero za wananchi kwa usawa na pia kero za wachache. Kwa wakati huo, miaka 51 iliyopita, Tanzania Bara haikuwa imebobea katika dhana ya matajiri kushindana kuhodhi hadhi, siasa na madaraka ingawa pia Mwalimu aliona dalili hizo. Katika hotuba yake hiyo…
To understand the new smart monitors and other pro devices of tech health, we should look to Silicon Valley and the quantified movement of the latest generation. Apple’s Watch records exercise, tracks our moves throughout the day, assesses the amount of time we are stood up and reminds us to get up and move around if we have been sat for too long – let’s not forget Tim Cook’s “sitting is the new factor” line. Routinely evaluating your risk factors for various medical conditions, screening for cancer and other diseases, and assessing your lifestyle habits helps you stay healthy. It’s…